HUYU NDIYE MTOTO WA DIAMOND TOKA KWA HAMISA MABETO“Abdul Naseeb” Mtoto wake.
Mobetto kupitia Instagram alipost picha yake ya wakati ni ujauzito huku akii-tag akaunti ya mtoto wake huyo na kuandika “Goodnight .Thank U for this outfit love @fifi_sugardesign . Love U baby dee @abdulnaseeb_tz,”Wiki iliyopita kupitia kipindi cha Shilawadu cha Clouds TV, mama Diamond pamoja na dada yake Diamond, Esma walionekana katika nyakati tofauti wakiwa katika hospitali moja ambayo alijifungilia mrembo huyo.
Diamond ambaye jina lake halisi ni Naseeb Abdul, hajatoa kauli yoyote juu ya mtoto huyo licha tetesi hizo kuonyesha zinaukweli ndani yake.
Kwa sasa muimbaji huyo ambaye ni Rais wa WCB, ni baba wa watoto wawili aliozaa na Zari The Bosslady.
No comments
Post a Comment