Rick Ross amempost Diamond Platnumz
Rapa maarufu nchini Marekani Rick Ross leo September 9, 2017 amempost
Staa wa Bongp Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa Instagram akiwa
amebeba chupa za kinywaji cha Belere ikiwa ni ishara ya kukinadi
kinywaji hicho.
Diamond ni balozi wa kinywaji hicho cha Belere na yeye amekua Staa wa
pili kutoka Afrika kupostiwa na Rick Ross baada ya siku kadhaa
zilizopita mwanadada kutoka nchini Kenya Huddah Monroe pia kupata bahati
hiyo ya kupostiwa na Staa huyu wa Hollywood.
No comments
Post a Comment